Plot for sale at Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C-IPO KARIB NA MJINI.

(Vyumba 03-Kimoja masta,seble,jiko,dining,public toilet!)

KIWANJA-500sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
____________________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
____________________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
_____________________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
_______________________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
____________________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 517,158

NYUMBA INAUZWA IPO KINGULWIRA MOROGORO MJINI INA UMEME NA MAJI TAYARI UKUBWA WA KIWANJA MIGUU 20 KWA...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 50,000,000

KIWANJA CHA KWANZA BARABARA INAYOWEKWA LAMI KINAUZWA ILAZO EXTENSION JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 507...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 8,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK F JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 507 sq.mKipo kilometer 8 kutoka mjiniMa...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 8,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAHUNGU BLOCK D JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 375 sq.mKina HATIKipo jirani sana na LA...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 15,000,000

KIWANJA KINAUZWA MNADA MPYA JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 567 sq.mKina HATIKipo Kilometer moja toka LA...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 50,000

...A VERY BEUTFUL & MOST PRIME PLOT FOR SALE//0768632709INAUZWA BEI YA MAOKOTO🥳🥳🥳 ✍️HII NI BABAL...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 3,000,000

GHOROFA LINAPANGISHWA MAENEO YA MJINIKWA MATUMIZI YA OFISI(SHIRIKA NA MAKAMPUNI/TAASISI)MAKAZI PIA U...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 28,000,000

KIWANJA KINAUZWA ILAZO EXTENSION BLOCK E JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 547 sq.mEneo limejengekaJirani ...

3 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 110,000

*Nauza Nyumba Mpya Dodoma Mjini Karibu Kabisa Na Chuo Kikuu Cha UDOM,*📍Ukubwa Wa Uwanja Square Mete...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 230,000,000

👉KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA👉KIMETIZAMA LAMI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖👉MAHALI- NJEDENGWA INVESTMENT 👉KWA WAWE...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 12,000,000

Kiwanja kizuri kimenyooka barabara safi hadi Site Bei milioni 12 maongezi yapo wai ndugu mteja fursa...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 8,000,000

*NAUZA ENEO KUBWA*✅udom nghongonha gabalu ✅meter chache kutoka ring road ✅Size 6177sqm✅limetambuliwa...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 650,000,000

KIWANJA KIPO NDANI YA FENSI KINAUZWA MORENA/JIRANI NA SHOPPERS PLAZA JIJINI DODOMEneo ukubwa ni 2,60...

House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 15,000,000

PAGALE LINAUZWA MAKULU OSTERBAY JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 400 sq.mJirani na mjiniMaji/Umeme upoEne...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 46,000,000

KIWANJA KINAUZWA ILAZO BLOCK "C" JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 600 sq.mKina HATIJirani na mjiniMaji/Um...

3 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 30,000,000

NAUZA NYUMBA YA KUMALIZIA — MICHESE CENTER DODOMA 👉 MUUNDO 👉 Vyumba Vitatu Vya Kulala 👉 viwili ...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWAIPO BOKO CHAMAINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE & JIKO & CHOOKODI Tsh L...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 500,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA  #VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWAIPO BOKO CHAMAINA VYUMBA VIWILI VYA KULAL...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 700,000,000

VIWANJA MEDELI KWAJILI HOTEL/RESTAURANT/MALL/ APARTMENTS N.K__________________MAHALI-MEDELI MJINI KA...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 88,000,000

👉KIWANJA KIZURI KINAUZWA👉USIKOSE NA HIKI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖📍MAHALI- DODOMA ITEGA USHUANI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖👉U...