Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA TABATA SEGEREA MWISHO, DAR ES SALAAM
📍 ENEO: Tabata Segerea Mwisho, eneo linalokua kwa kasi! Lenye huduma za umeme na maji, pamoja na usalama wa kutosha. Eneo bora kwa nyumba ya familia au uwekezaji.
📏 UKUBWA: Sqm 400 (ukubwa bora kwa nyumba ya starehe au miradi midogo ya uwekezaji).
💰 BEI YA OFA: Tsh 28,000,000 (fursa ya bei nafuu! Maongezi kidogo yanawezekana kwa wateja makini).
📄 HATI MILIKI: Sales agreement.
🔧 HALI YA KIWANJA: Kiwanja wazi, rahisi kujenga, kina upatikanaji wa barabara. Tayari kwa ujenzi wa haraka.
☎️ MAWASILIANO: Piga simu au WhatsApp: 0688 412 890
Gharama ya kutembelea site: Tsh 20,000.