Plot for sale at Ukonga, Dar Es Salaam
Kiwanja chenye fremu 3 za biashara 🌟 KINAUZWA
karibu na ofisi za TTCL Airport 📍 Ukonga, Nyerere Road
SIFA ZA ENEO
◾Ukubwa : 559
◾Hati miliki: Ipo
◾Kiwanja kina: Fremu tatu za biashara, ofisi, na kuna
stoo mbili kubwa za kuhifadhi vitu.
◾Umeme: upo
◾Maji: Yapo
◾Kiwanja kinatazamana na barabara ya Nyerere Road (Airport)
◾Kinafaa kwa uwekezaji wa hotel, ofisi za kusafirisha mizigo ( clearing and forwarding) nyumba za kupangisha au uhifadhi wa mizigo nk.
◾ Bei 450ml maongezi yapo
Kwa maelezo zaidi na kutembelea kiwanja tupigie:-
0620 411 030
0768 308 598
Pichanyumba Real Estate
#pichanyumba #realestate #plots #kiwanja #uwekezaji #biashara #forsale #fremuzabiashara #ukonga #daresalaam #hotel #apartment #airportplots #daresalaam #ilala #tanzania