Kiwanja kinauzwa Ukonga, Dar Es Salaam


Kiwanja chenye fremu 3 za biashara ๐ KINAUZWA
karibu na ofisi za TTCL Airport ๐ Ukonga, Nyerere Road
SIFA ZA ENEO
โพUkubwa : 559
โพHati miliki: Ipo
โพKiwanja kina: Fremu tatu za biashara, ofisi, na kuna
stoo mbili kubwa za kuhifadhi vitu.
โพUmeme: upo
โพMaji: Yapo
โพKiwanja kinatazamana na barabara ya Nyerere Road (Airport)
โพKinafaa kwa uwekezaji wa hotel, ofisi za kusafirisha mizigo ( clearing and forwarding) nyumba za kupangisha au uhifadhi wa mizigo nk.
โพ Bei 450ml maongezi yapo
Kwa maelezo zaidi na kutembelea kiwanja tupigie:-
0620 411 030
0768 308 598
Pichanyumba Real Estate
#pichanyumba #realestate #plots #kiwanja #uwekezaji #biashara #forsale #fremuzabiashara #ukonga #daresalaam #hotel #apartment #airportplots #daresalaam #ilala #tanzania