Plots for sale at Kibaha, Pwani


Ulipo tupo! Tunawakaribisha wateja wetu wote na wakazi wa kibaha katika mradi wetu uliopo karibu kabisa na hospitali ya lulanzi.
Huu mradi umepimwa na huduma zote za kijamii zinapatikana hapa. Pia mradi upo umbali wa kilomita 2 kutoka barabarani.
Gharama yake ni nafuu kabisa, utalipia SQM 1 kwa shilingi 15,000/- tu, vilevile unaruhusiwa kulipa kwa awamu yaani (kidogokidogo) hadi miezi mitatu.
Hii si ya kukosa kabisa maana UJANJA ni KUMILIKI KIWANJA
Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)
Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126
#viwanja
#plot
#plot
#plotforsale
#viwanjadar
#viwanjavilivyopimwa
#viwanjakigamboni
#viwanjakibaha
#viwanja