Plots for sale at Kibaha, Pwani







VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA
VIWANJA HIVI VIPO KIBAHA PICHA YA NDEGE
UKISHUKA KWENYE BASI UKIWA UNATOKEA MJINI UNAVUKA BARABARA UNACHUKUA BODA BUKU JERO KUFIKA SITE,
BARABARA NZURI YALAMI IMEJEGWA MPKA KM 1 PIA ITAMALIZIWA KIPANDE KILICHOBAKI ILI IFIKE KWENYE HOSPITAL YA WILAYA
VIWANJA VINATAZAMANA NA HIYO HOSPITAL YA WILAYA AMBAYO NI MPYAA KUBWA SANA NA IMEANZA KUFANYA KAZI
VIWANJA VINAANZIA UKUBWA WA 20 KWA 20 METER NA KUENDELEA.
KIUKWELI KWAMTU ANAETAKA VIWANJA APO NIPAZURI SANA NA MJI UNAKUA KWA KASI MNO MIUNDOMBINU YOTE MAJI UMEME VIPO
BEI YA KIWANJA KIMOJA MILIONI 7,500,000/=TU,
KUONA KIWANJA ELFU 30
☎️ #0757208653