Plots for sale at Kibaha, Pwani
VIWANJA VYA SQM.1,000, TSHS. 10 MILIONI, KIDIMU LUMUMBA, KIBAHA.
Hivi Viwanja VIMEPIMWA.
Vipo umbali wa mita 500 tu kutoka Barabara ya LAMI inayotoka LOLIONDO KIBAHA kwenda MAPINGA, BAGAMOYO.
Nauli kutoka KIBAHA kwa Hiace nj Tshs.1,000.
Kutokea Mpiji Magoe Boda ni Tshs.2,000.
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%.
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.