Plots for sale at Kibaha, Pwani
VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAUZWA BOKO TEMBONI.
Kama bado unajiliza hapa ni wapi! Hapa ni Boko TEMBONI! Kibaha karibu na Hospitali kubwa ya Mkoa wa Kibaha Yaani Tumbi Hospital.
Kuna daladala za kutoka Mbezi Luis Stand kuja huku! Shuka Kwa Maulid,Ingia Ofisini Kisha upelekwe site ukachague Kiwanja Chako ulipe kidogo kidogo ndani ya Mwaka mmoja bila Riba Wala Dhamana.
Utaratibu wa Malipo
1,000,000/= malipo ya Awali
Kiasi kilichobaki utalipia taratibu ndani ya Mwaka mmoja.
Bei Kwa square meter ni shilingi 10,000/=
Ukubwa wa Viwanja ni kuanzia 500m² Hadi 3000m²
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814
0759 461 893