Plots for sale at Kibaha, Pwani
📌Hapo nimeshakuelezea MIRADI yetu yote na bei zake
📌Nimeshakuelezea huduma zetu zote 😵😂
📌Jamani nimekusuggestia na viwanja kwenye ramani 😂😂
KWA FAIDA YA WASIOJUA
📍KIBAHA PANGANI
📌3km kutoka Morogoro road
📌1km kutoka barabara ya Lami
📌Huduma zote za kijamii zimefika
📌Cash : 14,500/ sqm
📌Installment: 15,000/sqm unaanza na 50%, unalipa ndani ya miezi 6 kiasi kilichobaki
📍KIGAMBONI PEMBAMNAZI
📌38km kutoka Ferry
📌4km kutoka main road ya Kimbiji
📌Huduma za kijamii zipo
📌Cash : 7,000/ Sqm
📌Installment : 7,000/ sqm unaanza na 50% unalipa ndani ya miezi 6
📍MTUMBA, Dodoma
📌1km kutoka Mji wa Serikali
📌Mita 900 kutoka barabara ya kuelekea Dar
📌cash : 14,000/ Sqm
📌Installment: 15,000 kwa sqm unaanza na 50% na unalipa ndani ya miezi 6
📍MTUMBA
📌1km kutoka mji wa Serikali
📌Mita 400 kutoka lami ya kuelekea Dar
📌Cash : 15,000/sqm
📌Installment: 16,000/sqm unaanza na 50% na unalipa ndani ya miezi 6
📍Ihumwa , Elshadai
📌Kimebaki kiwanja kimoja cha sqm 711, sqm moja 20,000
📍CHAHWA, Dodoma
📌2.5 km kutoka mjia wa serikali na kutoka barabarani
📌Bei ya offer ni flat milioni 3
📍Chamwino Ikulu
📍Nala Lugala
HUDUMA ZETU
📌Tunapima maeneo kwa gharama nafuu na muda mfupi
📌Tunafatilia hati miliki ndani ya mwezi mmoja
📌Tunachora ramani
📌Tunafatilia vibali vya ujeni
📌Tunajenga
📍Tupo Posta Mpya ( 5th floor) jengo la IPS
☎️0659540265/ 071834943