Plots for sale at Kibaha, Pwani
Mradi wa Viwanja Kibaha Visiga, Miwaleni.
Sqm 1 ni Tsh 15,000.
Viwanja vinaanzia Tsh 4,700,000/= Kwa sqm 314
Viwanja vipo vingi sana kwa ukubwa tofauti tofauti.
Mradi upo kilomita 35 kutoka Mbezi Mwisho, Mita 700 kutoka lami.
Eneo limeshapimwa, lipo karibu na makazi ya watu, huduma zote muhimu zinapatikna kwa haraka, Maji na umeme vipo site.
Ukimaliza malipo tunakusaidia kuprocess hati Miliki.
Call/Whatsapp
0653988825
Oneroof Real Estate Company Limited