Plots for sale at Kibaha, Pwani
Habari wateja wetu tunamradi mpya wa viwanja
Viwanja vipo kibaha kwa matias mikongeni
Bei kuanzia mil 1 , mil 1.5 na mil 2
Ukubwa wa viwanja unaanzia 20kwa20 ,20kwa40 nakuendelea
Pia unaweza kuunganisha viwanja
Nb: sio lazima ulipe cash waweza lipia nusu ya pesa na nusu inayobakia ukalipa taratibu
Contact : 0658399990
:0682871678