Plots for sale at Kibaha, Pwani







VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA
BEI SH MILIONI 7500,000/= SQUARE MITA 400
VIWANJA IVI VIPO KIBAHA PICHA YA NDEGE KITUO SHERI
UKISHUKA KWENYE BASI UKIWA UNATOKEA MJINI UNAVUKA BARABARA UNACHUKUA BODA BUKU JERO KUFIKA SITE,
BARABARA NZURI YARAMI IMEJEGWA KM 1 PIA ITAMLIZIWA KIPANDE KILICHOBAKI ILI RAMI IFIKE KWENYE HOSPITAL YA WILAYA
VIWANJA VINATAZAMANA NA IYO HOSPITAL YA WILAYA AMBAYO NI MPYAA KUBWA SANA NA IMEANZA KUFANYA KAZI
VIWANJA VINAUKUBWA WA 20 KWA 20 METER
KIUKWELI KWAMTU ANAETAKA VIWANJA APO NIPAZURI SANA NA MJI UNAKUA KWA KASI MNO MIUNDOMBINU YOTE MAJI UMEME VIPO
BEI YA KIWANJA KIMOJA MILIONI 7500/ TU, MAZUNGUMZO KIDOGO YAPO
KUONA KIWANJA piga simu O745010009 au 0742707023