Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI NI MILION MOJA NA LAKI TATU TU (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja chako DAR ES SALAAM, wilaya KIGAMBONI Kata ya KIMBIJI, Mtaa wa Kwa Moris. 0711677199/0744847199.

🤔Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 Tu. Sehemu ambayo ina Umeme tayari, Majirani wenye nyumba za kisasa, Maji ya DAWASA.

➡️ Viwanja ni vizuri sana, ni Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wa kutosha na sio mbali na barabara ya Mji Mwema-Buyuni.

➡️ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k

👉 Umbali ni Km 35 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 500 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 1.5 toka BAHARINI.
____________________________
👉 BEI YAKE SASA NI =Tsh 1,300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________

USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Ukipanda gari za Buyuni unashukia Kwa Moris, kutoka hapo unaweza tembea au pikipiki 1000 maana sio mbali na barabara. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.

🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 26,345,000

📍Kiwanja kinapatikana Kigamboni kimbiji- Ukubwa wa Kiwanja sqm 479- ⁠Bei 26,345,000- ⁠Malipo ya mie...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location Mnadani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko nzuri ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

MRADI MPYA WA VIWANJA KIGAMBONI VIWANJA VYETU VIMEPIMWA NA VINA HATI BEI NI MILLION TATU (3) TU KWA ...

House/Apartment for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI KIBADA__APARTMENT 2 CHUMBA MASTER ZIPO 12__BEI ML 75__SQM 400__DOCUMENT SIL...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 14,000,000

Eneo Linauzwa Lipo; KIGAMBONI KIMBIJIUkubwa Hekari 7 Documents safi Bei 14M kwa hekari moja Call; 07...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 14,000,000

Eneo Linauzwa Lipo; KIGAMBONI KIMBIJIUkubwa Hekari 7 Documents safi Bei 14M kwa hekari moja Call; 07...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Chumba master Sebule jiko ✅ Ndani ya fence ✅ Umeme & maj...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 14,000,000

offer ya miez 18 kigamboni cheka Mfano sqm 400 bei 14,000,000 kila mwezi 777,777.77777777 Kwa miez 1...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI <> location kibada stand <> mladi huu una vyumba kumi ambavyo vyote ni mas...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisota <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule n...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zi...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __KIWANJA KINA FENCE PANDE MBILI KIWANJA TAMBALALE MIUNDOMBINU ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili vyote master sebule di...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule d...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule n...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 900,000 per month

🏠NYUMBA INAPANGISHWA 📍Kigamboni Kibada 🏠Vyumba Sita👉Vyote ni Master 💰900,000/= kwa mwezi 👉Sebu...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 7,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJAVIWANJA VYETU VIMEPIMWA NA VINA HATIBEI ZINAANZIA MILLION 7 KWA SQM 600YAAANI 2...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 87,000,000

🌍 OFERTA KALI – NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI, KIBUGUMO ---🏡 Nyumba nzuri ya kisasa yenye mazingira tul...