Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI NI MILION MOJA NA LAKI TATU TU (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja chako DAR ES SALAAM, wilaya KIGAMBONI Kata ya KIMBIJI, Mtaa wa Kwa Moris. 0711677199/0744847199.

🤔Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 Tu. Sehemu ambayo ina Umeme tayari, Majirani wenye nyumba za kisasa, Maji ya DAWASA.

➡️ Viwanja ni vizuri sana, ni Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wa kutosha na sio mbali na barabara ya Mji Mwema-Buyuni.

➡️ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k

👉 Umbali ni Km 35 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 500 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 1.5 toka BAHARINI.
____________________________
👉 BEI YAKE SASA NI =Tsh 1,300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________

USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Ukipanda gari za Buyuni unashukia Kwa Moris, kutoka hapo unaweza tembea au pikipiki 1000 maana sio mbali na barabara. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.

🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

KIWANJA CHA BARABARANI KINAUZWA KIGAMBONI bei milioni 2800767672719📱0713672719Kiwanja kipo dege kig...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE DINNING NA JIKO TSH 500K 😋 KISOTA KIG...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

PLOT FOR SALEKIWANJA KIZURI KINAUZWA🇹🇿📍Location :MIKWAMBE KIGAMBONI DAR) 🔽SQ 550 (HATI YA WIZAR...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

PLOT FOR SALEKIWANJA KIZURI KINAUZWA🇹🇿📍Location :KISOTA KIGAMBONI DAR) 🔽SQ 1118 (HATI YA WIZARA...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 420,000,000

#kigamboni #house for sale 🔥🔥🔥🔥🌏Gorofa vyumba 6 vyote master 🌏Bei=420m maongezi kitogo yapo Wa...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; KIGAMBONI KIBADA 👉Plot size: SQM 708Dimensions; mita 22 kwa mita 32👉Documents; CLEAN DOC...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 420,000,000

(House for sale) Fully title did) (Kisota Kigamboni) price million 420 maongezi yapo

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada📍Umbal wa kilometer 8 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia umbal wa...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO TSH 350K 😋 GEZA ULOLE KIGAMBON...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 55,000,000

KIGAMBONI MBUTU KichanganiNear DEGEKm 17 From FerryKm2 Main RoadGood NeighberhoodAll Social Services...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 350,000

NYUMBA INAPANGISHWA(slide kushoto kuona picha zaidi>>>> KIGAMBONI DSMSIFA✅️chumba kimoja master,se...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; KIGAMBONI KIBADA 👉Plot size: SQM 850 Dimensions; mita 21 kwa mita 40👉Documents; CLEAN DO...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

PLOT FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA UNGINDONI __PLORT TAMBALALE IMENYOOKA MIUNDOMBINU NIMIZULI KALIBU S...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

$ 220,000

BEACH PLOT NA MBILI INAUZWA KIGAMBONI bei USD laki 2200000767672719📱0713672719Beach plot na mbili i...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI CHEKABei;MILION 17 na laki 5UKUBWA;SQM 912Call 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 14,000,000

Hapa ni kigamboni mchikichini kiwanja kinauzwa kipo mita 100Kutoka lami Sqr 700Bei milioni 14

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni chekaUKUBWA;SQM 912Bei;MILION 17 na laki 5Call 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 14,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MWONGOZOUKUBWA;SQM 800BEI;MILION 14 NA LAKI 5CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kisota📍Umbal wa kilometer 5 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia umbal wa...