Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
BEI NI MILION MOJA NA LAKI TATU TU (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja chako DAR ES SALAAM, wilaya KIGAMBONI Kata ya KIMBIJI, Mtaa wa Kwa Moris. 0711677199/0744847199.
๐คKwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 Tu. Sehemu ambayo ina Umeme tayari, Majirani wenye nyumba za kisasa, Maji ya DAWASA.
โก๏ธ Viwanja ni vizuri sana, ni Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wa kutosha na sio mbali na barabara ya Mji Mwema-Buyuni.
โก๏ธ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k
๐ Umbali ni Km 35 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 500 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 1.5 toka BAHARINI.
____________________________
๐ BEI YAKE SASA NI =Tsh 1,300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________
USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Ukipanda gari za Buyuni unashukia Kwa Moris, kutoka hapo unaweza tembea au pikipiki 1000 maana sio mbali na barabara. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.
๐คKARIBUNI SANA KIGAMBONI.