Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI NI MILION MOJA NA LAKI TATU TU (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja chako DAR ES SALAAM, wilaya KIGAMBONI Kata ya KIMBIJI, Mtaa wa Kwa Moris. 0711677199/0744847199.

🤔Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 Tu. Sehemu ambayo ina Umeme tayari, Majirani wenye nyumba za kisasa, Maji ya DAWASA.

➡️ Viwanja ni vizuri sana, ni Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wa kutosha na sio mbali na barabara ya Mji Mwema-Buyuni.

➡️ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k

👉 Umbali ni Km 35 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 500 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 1.5 toka BAHARINI.
____________________________
👉 BEI YAKE SASA NI =Tsh 1,300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________

USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Ukipanda gari za Buyuni unashukia Kwa Moris, kutoka hapo unaweza tembea au pikipiki 1000 maana sio mbali na barabara. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.

🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 12,000,000

📢 VIWANJA VINAUZWA DAR KIGAMBONI 0746 500 520📍 Vimepimwa – Mjini Kabisa!🏠 Mahali: Kigamboni Mteng...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 15,000,000

📢 VIWANJA VINAUZWA DAR KIGAMBONI 📍 Vimepimwa – Mjini Kabisa!🏠 Mahali: Kigamboni Mtengu Road💰 Be...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 15,000,000

📢 VIWANJA VINAUZWA DAR KIGAMBONI 📍 Vimepimwa – Mjini Kabisa!🏠 Mahali: Kigamboni Mtengu Road💰 Be...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI GEZA BLOCK 17 __VYUMBA V4 VYAKULALA VIWILI MASTER SEBULE DINING JIKO LENYE ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI GEZA__KIWANJA NI CHAKONA__KIWANJA TAMBALALE MIUNDOMBINU NIMIZULI PAMEJEN...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 16,000 per sqm

📞 Tupigie simu: 0621 314 675 au 0712 390 895jasiri_land_company_limited Tunakukaribisha kwenye mrad...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000,000

📍BEACH PLOT FOR SALE KIGAMBONI KIMBIJI.Eneo: Yaleyale – Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam📏 Takr...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location mikwambe ya msingi <> Ukubwa wa eneo SQM 1980◾️Price: Milioni ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 125,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada mwera <> Ukubwa wa eneo SQM 450✅HATI YA WIZALA<> price...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko nzuri...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

HAPPY NEW WEEK🙏🙏🙏🙏MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAEND...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada (CHEKECHEA)<> ukubwa wa eneo SQM 800◾️price: Milioni 45...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 150,000,000

VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI bei milioni 150 Kwa kiwanja VIWANJA vipo kibada vina ukubwa wa sqm 3500Kw...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000,000

VIWANJA 3 VINAUZWA KIGAMBONI bei milioni 450 Kwa vyote0767672719📱0713672719VIwanja vipo kibada bloc...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 170,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 170,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada <> Ukubwa wa eneo SQM 1000✅HATI YA WIZALA<> price: Mili...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 780,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI<> location kibugumo (kidete beach)<> Ukubwa wa eneo SQM 1500✅HATI YA WIZA...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

HAPPY NEW MONTH🙏🙏MILIKI ARDHI LEO NA KAMPUNI PENDWA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDELE...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 8,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location mwembe mdogo (jirani na magorofa ya Dege)<> ukubwa kuanzia SQM...