Plots for sale at Kigogo, Dar Es Salaam
Post 1:
Karibu tena kwenye kiwanda cha kuzalisha viwanja Baruch property Access tunakuletea Mradi mpya wa viwanja Kigogo kisarawe II, Viwanja vipo umbali wa km 17 kutoka ferry...Umeme upo site kabisa tayari, umbali wa 4km kutoka kibada, Viwanja viko Tambalale na Vimepimwa.
Bei ya Viwanja ni Tsh 20000 kwa Mita Moja ya Mraba....Malipo ni cash
Post 2:
Karibu tena kwenye kiwanda cha kuzalisha viwanja Baruch property Access, Tunauza kiwanja Kigamboni
KIBADA Block 1 sqm 1031...
Bei ni Tsh Mil 45 na Malipo ni Cash…
Tupigie simu kwa nambari 0654249046