Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam




》KIMBIJI, KIGAMBONI🌊
Fursa Adimu Karibu na Bahari!
Tunauza viwanja viwili vya kuvutia vilivyopo Kimbiji Kigamboni, jirani kabisa na:
📍 Shule ya Sekondari Kimbiji
📍 Kiwanda cha Africab
📍 Na umbali wa takriban mita 300 tu kutoka baharini.
📐 Ukubwa wa Viwanja:
* Kiwanja Na.11: 1,785 sqm.
* Kiwanja Na.13: 1,709 sqm.
🗂️ Vyote vina HATI MILIKI halali
💰 Bei: TZS20,000,000/= kwa kila kiwanja
(Hii ni bei ya punguzo ukilinganisha na thamani halisi ya eneo!)
✅ Eneo linalofaa kwa makazi ya kifamilia, uwekezaji wa hoteli, guest house, au miradi ya kijamii.
📞 Wasiliana Nasi Leo: +255 788 958 441
__
#goproperty #viwanja #auction #mnada