Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam


Kama unatamani kufanya uwekezaji kwenye ardhi kwa ajili ya baadae basi leo tumekuletea mradi sahihi kwako
Land matrix limited tumekuletea mradi ambao unafaa kwa ajili ya uwekezaji na gharama zake ni ndogo sanaa
Mradi upo umbali wa kilomita 4 kutoka AVIC TOWN na ni mita 75 tu moja kutoka barabara kuu ya Mwasonga inayoelekea kimbiji
Viwanja vimepimwa na vinaanzia Sqm 400 na kuendelea.
Bei ni 8000/= kwa Sqm moja na unaweza kulipa kidogo kidogo hadi miezi 12.
Kwenda site ni bure kabisa siku saba za wiki, wasiliana nasi kupitia namba 0712459405
#onlyqualities