Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
Habari wadau wa SHECOS VIWANJA!🌾
Karibuni sana kwenye MICHEZO YETU YA VIWANJA ambayo inaendelea.
Viwanja vyetu vipo KIMBIJI KIGAMBONI eneo lijulikanalo kama BOHARI baada ya kambi ya jeshi.
Viwanja vyetu viko umbali wa km 30 kutoka ferry na km 21 kutoka Darajani.Viwanja vyetu viko 1.5km kutoka barabara kuu ya kwenda ferry na 2km kutoka baharini 🏝️.
Pia tuna viwanja vingine maeneo ya KISARAWE PUGU ambavyo vipo 1.5km kutoka barabara ya lami kutokea Kazimzumbwi mjini.
Viwanja vyetu vina ukubwa wa Sqm 300 ambayo ni sawa na 20mX15m.
Lakini kabla ya hapo mlango uko wazi kujadiliana kwa wale watakaohitaji kwenda kupaona tunaweza kupanga siku tukajumuika pamoja kuona eneo kisha michango ikaanza au ikawa inaendelea.
Tuna MICHEZO ya aina 2;
1.Mchezo wa Tzs 6,000/- kila siku
2.Mchezo wa Tzs 200,000/- kila mwezi.
Kwa Mchezo wa Tsh 6,000/-
…………………………………………….
Utaratibu ni kwamba kila SIKU utatakiwa kuchangia Tsh 6,000/- tu ila pia unaruhusiwa kilipa kwa WIKI (Tzs 42,000/-)au MWEZI (Tzs 180,000/-)kulingana na kipato chako sharti ni lazima uanze kulipa mwanzo kwanza kisha ndio uendelee na ujitahidi usivushe siku maana adhabu itakuwepo. Mchezo unaenda kwa muda wa mwaka 1 na siku 20 tu.
Kwa Mchezo wa Tsh 200,000/-
………………………………………………
Kila MWEZI utalipia Tsh 200,000/- kwa muda wa miezi 12 tu.
Mchezo huu wa Tsh 6,000/-utaenda kila baada ya siku 26 tutalitoa jina moja na tunaenda hivyo mpaka tumalize watu wote 15 kisha ndio tutakabidhiana maeneo yetu rasmi.
NB:HUDUMA ZOTE MUHIMU ZA JAMII ZINAPATIKANA NA VIWANJA VIMEPIMWA TAYARI.
PIA TUNAUZA KWA CASH (Hapa unapata punguzo).
☎️ 0768293033 / 0624293033 / 0764293033.
Karibuni sana wadau wangu wa SHELOVE VIWANJA.🌾🙏