Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 200,000 per month
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

Habari wadau wa SHECOS VIWANJA!๐ŸŒพ

Karibuni sana kwenye MICHEZO YETU YA VIWANJA ambayo inaendelea.

Viwanja vyetu vipo KIMBIJI KIGAMBONI eneo lijulikanalo kama BOHARI baada ya kambi ya jeshi.
Viwanja vyetu viko umbali wa km 30 kutoka ferry na km 21 kutoka Darajani.Viwanja vyetu viko 1.5km kutoka barabara kuu ya kwenda ferry na 2km kutoka baharini ๐Ÿ๏ธ.

Pia tuna viwanja vingine maeneo ya KISARAWE PUGU ambavyo vipo 1.5km kutoka barabara ya lami kutokea Kazimzumbwi mjini.

Viwanja vyetu vina ukubwa wa Sqm 300 ambayo ni sawa na 20mX15m.

Lakini kabla ya hapo mlango uko wazi kujadiliana kwa wale watakaohitaji kwenda kupaona tunaweza kupanga siku tukajumuika pamoja kuona eneo kisha michango ikaanza au ikawa inaendelea.

Tuna MICHEZO ya aina 2;

1.Mchezo wa Tzs 6,000/- kila siku
2.Mchezo wa Tzs 200,000/- kila mwezi.

Kwa Mchezo wa Tsh 6,000/-
โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.
Utaratibu ni kwamba kila SIKU utatakiwa kuchangia Tsh 6,000/- tu ila pia unaruhusiwa kilipa kwa WIKI (Tzs 42,000/-)au MWEZI (Tzs 180,000/-)kulingana na kipato chako sharti ni lazima uanze kulipa mwanzo kwanza kisha ndio uendelee na ujitahidi usivushe siku maana adhabu itakuwepo. Mchezo unaenda kwa muda wa mwaka 1 na siku 20 tu.

Kwa Mchezo wa Tsh 200,000/-
โ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ
Kila MWEZI utalipia Tsh 200,000/- kwa muda wa miezi 12 tu.

Mchezo huu wa Tsh 6,000/-utaenda kila baada ya siku 26 tutalitoa jina moja na tunaenda hivyo mpaka tumalize watu wote 15 kisha ndio tutakabidhiana maeneo yetu rasmi.

NB:HUDUMA ZOTE MUHIMU ZA JAMII ZINAPATIKANA NA VIWANJA VIMEPIMWA TAYARI.

PIA TUNAUZA KWA CASH (Hapa unapata punguzo).

โ˜Ž๏ธ 0768293033 / 0624293033 / 0764293033.

Karibuni sana wadau wangu wa SHELOVE VIWANJA.๐ŸŒพ๐Ÿ™

shelove_viwanja
shelove_viwanja
shelove_viwanja

Similar items by location

Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 3,157,000

๐Ÿ“Œ4km kutoka MAINROAD YA KIMBIJI๐Ÿ“Œ38km kutoka Ferry๐Ÿฅ‚VIWANJA VIMEBAKI VINNE TU๐Ÿฅ‚SQM 600 - 4,200,000๏ฟฝ...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ž๐—œ๐—ช๐—”๐—ก๐—๐—” ๐—•๐—˜๐—”๐—–๐—› ๐—ฆ๐—œ๐——๐—˜ ๐—ž๐—œ๐— ๐—•๐—œ๐—๐—œ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆzipo sqm 890,631&1,000๐Ÿ“ŒKIMBIJI N...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ž๐—œ๐—ช๐—”๐—ก๐—๐—” ๐—•๐—˜๐—”๐—–๐—› ๐—ฆ๐—œ๐——๐—˜ ๐—ž๐—œ๐— ๐—•๐—œ๐—๐—œ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆzipo sqm 890,631&1,000๐Ÿ“ŒKIMBIJI N...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 1,500,000

๐Ÿก Hii ni Yako โ€” Kimbiji Golani!Unahitaji kiwanja cha sqm 400 chenye hati?Kwa milioni 4.8 tu unaweza...

Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000,000

ใ€‹KIMBIJI, KIGAMBONI๐ŸŒŠFursa Adimu Karibu na Bahari!Tunauza viwanja viwili vya kuvutia vilivyopo Kimbi...

Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 7,200,000

MRADI KIMBIJI FIVE STARโ€ผ๏ธโ€ผ๏ธโ€ผ๏ธโ€ผ๏ธโ€ผ๏ธSIFA ZA MRADI-MRADI UPO METER 100m KUTOKA BARABARA KUU -1KM KUTOKA ...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

Beach plot namba 1 kimbiji kigamboni Sqm mita 5,000 na Sqm mita 5,600 Bei laki 100,000 kwa sqm mita ...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; GEZA ULOLE (block 18) ๐Ÿ‘‰Plot size: SQM 815Dimensions; mita 21 kwa mita 40๐Ÿ‘‰Documents; CLEA...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; GEZA ULOLE (block D)๐Ÿ‘‰Plot size: SQM 962Dimensions; mita 24 kwa mita 40๐Ÿ‘‰Documents; CLEAN ...

Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 32,000

๐ŸŒน **KIMBIJI SANDY BEACH* Mradi huu upo karibu na bahari..๐Ÿ“ŒMita 400 kutoka Beach(walking distance...

Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 45,000

Twende kimbiji Beach sasa viwanja vimebaki viwanja vichache mnoo...Kwa 40,000 tu kwa sqm kwa malipo ...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 16,000,000

Kiwanja kipo kigambon kimbijiKaribu na GSMmita 300 kutoka main roadKiwanja kina square mita 500Kiwan...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 16,000,000

Kiwanja kipo kigambon kimbijiKaribu na GSMmita 300 kutoka main roadKiwanja kina square mita 500Kiwan...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; GEZA ULOLE (block 15)๐Ÿ‘‰Plot size: SQM 900Dimensions; mita 24 kwa mita 40๐Ÿ‘‰Documents; CLEAN...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 40,000

Kimbiji Beach.. ni dk 4 tu kutoka site mpaka kwenye mradi wetu na dk 3 kutoka site mpaka main roadNa...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

๐ŸคBeach 1 plot for sale๐Ÿ‘‰Location kimbiji๐Ÿ‘‰Plot sqm 2183๐Ÿ‘‰Hati ya wizara๐Ÿ‘‰Bei milion 270โ˜Ž๏ธ0789020004

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 25,000

๐ŸฉธUnatafuta kiwanja cha kuwekeza au kujenga makazi karibu na bahari? Kimbiji kwa Moris beach ๐Ÿ–๏ธ ni ...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; GEZA ULOLE (block D)๐Ÿ‘‰Plot size: SQM 600Dimensions; mita 20 kwa mita 20๐Ÿ‘‰Documents; CLEAN ...

Plot for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; GEZA ULOLE (block 18)๐Ÿ‘‰Plot size: SQM 547Dimensions; mita 17 kwa mita 33๐Ÿ‘‰Documents; CLEA...

House for Rent at Kimbiji, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 26,640,000

KIMBIJI BEACH PLOTSKm40 From FerryMita500 Main RoadMita600 From BeachPRICE:CASH TSH 18,000 SQM1Kiwan...