Plots for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 95,000 per sqm
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

Plot nzuri sana zipo Kinyerezi mwisho mtaa wa Kichangani, Songas road. vimebaki plot 8 tuu zipo umbali wa km 1.5 kutoka barabara ya lami (kinyerezi park). huduma zote za kijamii zinapatikana, ni vizuri sana kwa kujenga appartments kwa matumizi ya airbnb na makazi pia. Mtaa umejengeka vizuri na ni wa kishua sana.kumejengwa maghorofa na kuna utulivu sana

Viwanja vimepimwa

Vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 529-926

Sqm 1 inauzwa shilingi 95,000/=

Mazungumzo yapo na pia unaweza kulipia kwa awamu

*Karibuni sana*
#kinyerezi #kishua #apartments #viwanja #bnb

jadecam-real-estate-company-limited
jadecamrealestateltd
jadecam-real-estate-company-limited

Similar items by location

House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000,000

NI MRADI MWINGINE MPYA WA VIWANJA,( VINAUZWA..... HII ISIKUPITE NDUGU MTEJAMRADI HUU MPYA WA VIWANJ...

House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000,000

NI MRADI MWINGINE MPYA WA VIWANJA,( VINAUZWA..... HII ISIKUPITE NDUGU MTEJAMRADI HUU MPYA WA VIWANJ...

2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#APART. I N A P A N G I S H W A#BEI: 500,000Tsh X MIEZI 6#ILIPO: KINYEREZI MBUYUNI✔️SEBULE KUBWA ✔️V...

2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#APART. I N A P A N G I S H W A#BEI: 500,000Tsh X MIEZI 6#ILIPO: KINYEREZI MBUYUNI✔️SEBULE KUBWA ✔️V...

House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

Chumba Na Choo MASTER BEDROOM KALII Inapangishwa Bei 120k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Nyumba Zi...

House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

Chumba Na Choo MASTER BEDROOM KALII Inapangishwa Bei 120k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Nyumba Zi...

House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

Chumba Na Choo MASTER BEDROOM KALII Inapangishwa Bei 120k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Nyumba Zi...

Plots for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 95,000 per sqm

Plot nzuri sana zipo Kinyerezi mwisho mtaa wa Kichangani, Songas road. vimebaki plot 8 tuu zipo umba...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT FOR RENTLOCATION:DARAJA LA KINYEREZI FQ HOTELPRICE:200,000/=SERVICE CHARGE:20,000/=BILA KU...

2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Hii Ni Nyumba Ya Peke Yake Ya Vyumba 2 Vya Kulala Master Jiko Sebule Dinning Jiko Na Stoo Inapangish...