Viwanja vinauzwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Plot nzuri sana zipo Kinyerezi mwisho mtaa wa Kichangani, Songas road. vimebaki plot 8 tuu zipo umbali wa km 1.5 kutoka barabara ya lami (kinyerezi park). huduma zote za kijamii zinapatikana, ni vizuri sana kwa kujenga appartments kwa matumizi ya airbnb na makazi pia. Mtaa umejengeka vizuri na ni wa kishua sana.kumejengwa maghorofa na kuna utulivu sana
Viwanja vimepimwa
Vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 529-926
Sqm 1 inauzwa shilingi 95,000/=
Mazungumzo yapo na pia unaweza kulipia kwa awamu
*Karibuni sana*
#kinyerezi #kishua #apartments #viwanja #bnb