Plots for sale at Kunduchi, Dar Es Salaam


BAHARI BEACH PROJECT AD.
Upepo unaousikia unavua kutokea Bahari Beach, Dar es Salaam, Tz.
Na Kama unanisikia mimi nisikilize nikwambie, Viwanja vya Makazi Vinauzwa Bahari Beach karibu kabisa na Bara Beach.
Viwanja hivi vinawakilisha fursa dhabiti ya uwekezaji, huku eneo lake la kimkakati likihakikisha uwezekano mkubwa wa kupanda kwa thamani kadri muda unavyokwenda.
Umeme na Maji vinapatikana kwa urahisi yaani miundombinu yote ipo vizuri. viwanja hivi ni unanunua na kuanza kujenga mara moja bila stress za upimwaji na kufatilia hati kwani Viwanja vyote vimepimwa na vina hati kutoka Wizara ya Ardhi.
1. Viwanja vino kutoka Baharini ni chini ya mita 100
2. 750m tu kutoka Barabara Kuu
3. 10m Kuendesha gari hadi Barabara ya Bagamoyo
4. 5km tu kutoka Kunduchi Beach Resort
5.Shule nyingi za Msingi na Sekondari katika Eneo hilo ikiwa ni pamoja na Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Feza.
Wahi sasa maana viwanja ni vichache na vizuri vyenye ukubwa wa wastani wa 1000m2.
Bei ni kuanzia TZS 310,000/= kwa sqm kiasi hiko ni pamoja na gharama za uhamisho wa umiliki wa kiwanja. Kwa maelezo zaidi tupigie
0768 426 942 au 0659156315.
WEKEZA BAHARI BEACH LEO, ARDHI HAIJAWAHI KUSHUKA THAMANI.