Viwanja vinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 310,000
Project
Yes

BAHARI BEACH PROJECT AD.

Upepo unaousikia unavua kutokea Bahari Beach, Dar es Salaam, Tz.
Na Kama unanisikia mimi nisikilize nikwambie, Viwanja vya Makazi Vinauzwa Bahari Beach karibu kabisa na Bara Beach.

Viwanja hivi vinawakilisha fursa dhabiti ya uwekezaji, huku eneo lake la kimkakati likihakikisha uwezekano mkubwa wa kupanda kwa thamani kadri muda unavyokwenda.

Umeme na Maji vinapatikana kwa urahisi yaani miundombinu yote ipo vizuri. viwanja hivi ni unanunua na kuanza kujenga mara moja bila stress za upimwaji na kufatilia hati kwani Viwanja vyote vimepimwa na vina hati kutoka Wizara ya Ardhi.

1.⁠ Viwanja vino kutoka Baharini ni ⁠chini ya mita 100
2.⁠ ⁠750m tu kutoka Barabara Kuu
3.⁠ ⁠10m Kuendesha gari hadi Barabara ya Bagamoyo
4.⁠ ⁠ 5km tu kutoka Kunduchi Beach Resort
5.⁠⁠⁠⁠⁠Shule nyingi za Msingi na Sekondari katika Eneo hilo ikiwa ni pamoja na Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Feza.

Wahi sasa maana viwanja ni vichache na vizuri vyenye ukubwa wa wastani wa 1000m2.

Bei ni kuanzia TZS 310,000/= kwa sqm kiasi hiko ni pamoja na gharama za uhamisho wa umiliki wa kiwanja. Kwa maelezo zaidi tupigie
0768 426 942 au 0659156315.

WEKEZA BAHARI BEACH LEO, ARDHI HAIJAWAHI KUSHUKA THAMANI.

THINK BIG REAL ESTATE
think_big_realestate
THINK BIG REAL ESTATE

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#CHUMBA MASTA JIKOO CHOO#LAKI 200,000MALIPO MIEZI 4#nyumba mpyaa zipo tatu kwenye fensiLOCATION KUND...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi BeachPrice: 2.7m Per MonthTerms: From One Mo...

Nyumba inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#CHUMBA MASTA JIKO CHOOPRICE LAKI 200,000KWAMWEZI MALIPO MIEZI 4LOCATION KUNDUCHI BEACH MTONGANI #ny...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished New Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi Beach JeshiniPrice: 2.7m Per MonthTerms:...

Nyumba inauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000,000

For #saleOne Storey House ✅️Location: Kunduchi Beach , Dar-Es-Salaam ,Tanzania 🇹🇿✅️: 6 beds, 5 Bat...

Nyumba inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 200,000

CHUMBA MASTA#LAKI 200,000MALIPO MIEZI 3Note:nyumba ipo karibu na lamiMAHALI KUNDUCHI BEACH ⛱ #Gypsum...

Kiwanja kinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

📢 KIWANJA KINAUZWA KUNDUCHI BEACH 📢📐 Ukubwa: SQM 2,100💵 Bei ya Ofa: Milioni 400 (Maongezi yapo)�...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished New Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi Beach JeshiniPrice: 2.7m Per MonthTerms:...

Kiwanja kinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

📢 KIWANJA KINAUZWA KUNDUCHI BEACH 📢📐 Ukubwa: SQM 2,100💵 Bei ya Ofa: Milioni 400 (Maongezi yapo)�...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished New Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi Beach JeshiniPrice: 2.7m Per MonthTerms:...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi Beach JeshiniPrice: 2.7m Per MonthTerms: 3 M...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

HOUSE FOR SALE KUNDUCHI BEACH4BEDROOMS & SERVANT COTER/CHUMBA SEBULEPLOT SIZE SQM 440PRICE :ML 180 M...

Nyumba inauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

*Plot for sale Kunduchi Beach**Distance* 1 km kufika Baharini-Plot size Sqmts 1000-Document: Hatimil...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi Beach JeshiniPrice: 2.7m Per MonthTerms: 3 M...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 850,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENTS 2BEDROOM PRICE 850,000 KWA MWEZI MALI...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi Beach JeshiniPrice: 2.7m Per MonthTerms: 3 M...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VIWILIAPARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-KUNDUCHI BEACH______________KODI TSHS...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO KUNDUCHI BEACH NYUMBA LAMIINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE J...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Villa For RentLocation: Kunduchi JeshiniPrice: 2.7m Per MonthTerms: 3 Months☑️3Bedro...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

-Bedrooms Villa for Rent 📍 Location: Kunduchi Jeshini, Dar es Salaam,Tanzania 🏡 Features:3 Spaciou...