Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
🔥 FURSA YA KUMILIKI VIWANJA VYA KUPIMWA MADALE MIVUMONI KWA BEI NAFUU! 🔥
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kumiliki viwanja vimepimwa kwenye eneo bora la Madale Mivumoni. Viwanja vimepimwa na mteja atapata hati bila usumbufu wa aina yoyote!
📍 Mahali:
• 2 km kutoka barabara ya lami (Kituo cha Kontena - Wazo)
• 4 km kutoka barabara ya Madale (Kituo cha Six)
• 2 km kutoka Salasala mwisho wa lami
📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 220 hadi 812
💰 Bei: TZS 55,000 kwa sqm
NAMBA MOJA REAL ESTATE DEVELOPERS