Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
š„ FURSA YA KUMILIKI VIWANJA VYA KUPIMWA MADALE MIVUMONI KWA BEI NAFUU! š„
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kumiliki viwanja vimepimwa kwenye eneo bora la Madale Mivumoni. Viwanja vimepimwa na mteja atapata hati bila usumbufu wa aina yoyote!
š Mahali:
ā¢ 2 km kutoka barabara ya lami (Kituo cha Kontena - Wazo)
ā¢ 4 km kutoka barabara ya Madale (Kituo cha Six)
ā¢ 2 km kutoka Salasala mwisho wa lami
š Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 220 hadi 812
š° Bei: TZS 55,000 kwa sqm
NAMBA MOJA REAL ESTATE DEVELOPERS