Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT KALI SANA MPYA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM. DK 2 TOKA LAMI. ___________________KODI...

5 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

NYUMBA IYO INAUZWABei milioni 300 ( maongez )@Mahali mbezi kwa msuguliKutoka kituoni mpaka kwenye ny...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ( Nyumb...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

NYUMBA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6 ITAKUA WAZI K...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

Apartment for rent Two bedroomsSEBURE jiko zuriChumba kimoja selfBei laki 5 kwa mweziMalipo miezi 60...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

NI ENEO KUBWA SANA LINAUZWA ENEO LIPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDGO YA STEND YA MAGUFUL BUS TEMINAL NI...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENTI NZURI SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPOIPO WAZI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW ND...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)MBEZI KWA MSUGURI NYUMBA INAPANGISHWA➖➖➖➖➖➖➖➖MAHALI:MBEZI KWA MSUGURI DAKIKA 8. KWAMIGUU...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)MBEZI KWA MSUGURI NYUMBA INAPANGISHWA➖➖➖➖➖➖➖➖MAHALI:MBEZI KWA MSUGURI DAKIKA 8. KWAMIGUU...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)MBEZI KWA MSUGURI NYUMBA INAPANGISHWA➖➖➖➖➖➖➖➖MAHALI:MBEZI KWA MSUGURI DAKIKA 8. KWAMIGUU...

Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

NI KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA ML 25 ( Maongezi yapo) Mbezi mwisho Makabe km 1.5 kutoka morogoro...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH ( Nyumb...

5 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

STAND ALONE HOUSE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUF Vyumba 5 vya kulal...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #120kChumba cha kulala sebule choo na jikoKodi 120,000 ...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENTI NZURI SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPOIPO WAZI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW ND...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 75,000

CHUMBA SINGLE KIKUBWA SANA KINAPANGISHWAKIPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA====UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD N...