Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

KAWAIDA YETU KUUZA ENEO LIKIWA SAFI NA MUONEKANO MZURI

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#KODI 500000 K X6APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO #ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJAKAMA UNATOKA MJIN...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 5,000,000

Stand aloneHouse for rent5roomsPrice 5,000,000KwamweziMalipo miezi 6Location mbezi beach Makonde

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

Stand aloneHouse for rent5roomsPrice 2,500,000KwamweziMalipo miezi 6Location mbezi beach makonde

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

#Repost dalali_maulid_ubungo_kibambaNYUMBA INAUZWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 15 KUTE...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#STAND ALONE HOUSE FOR RENT/NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA MBEZI MALAMBA MA...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

CHUMBA MASTER | SEBULE KUBWA NA JIKO. KUBWA SANA. KODI 500,000/= ×6 TU (Deposit ya 200,000/=)__MBEZI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

MPYA MPYA MPYA KABISAAPARTMENT MBEZI LUGURUNI ZINAPANGISHWALOCATION: MBEZI LUGURUNI KM1 TOKA MAIN RO...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 15 KUTEMBEA BODA BUKUUKUBWA WAKIWANJA 17, 3...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAKUA WAZI TAR 10/02/2026 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA #APARTMENT ZIPO 3 KWENYE FENSI NA ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO NJIA YA ZONEIna Vyumba Vitatu vya Kulala kimoja #Master #Sebule kubwa DI...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NIMESHUSHA MIEZI SASA NJOO NA MTEJAKODI 200000 K X 3ELA YA TAHADHARI LAKI MOJA APATIMENTI ZIPO MBEZI...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

CHUMBA SEBULE JIKO CHOO INAPANGISHWA IPO MBEZI JUU KWA ULOMI Dk 2 TOKA LAMI BEI LAKI 4 KWA MWEZI MAL...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 260,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi mwisho luguruni km1 Kodi 260000 kwa mwezi n...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAKUA WAZI TAR 10/02/2026 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA #APARTMENT ZIPO 3 KWENYE FENSI NA ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAKUA WAZI TAR 10/02/2026 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA #APARTMENT ZIPO 3 KWENYE FENSI NA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

0679 997610 APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 600K INAYOPANGISHWA NI JUU GOROFANI ITAKUA WAZI...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 260,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KODI 260K LOCATION MBEZI MWISHO ULUGURUNI WILAYA YA UBUNGO KM1 USA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAKUA WAZI TAR 10/02/2026 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA #APARTMENT ZIPO 3 KWENYE FENSI NA ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 220,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Nina Ifaulisha Location: MBEZI KWA MSUGURIDistance: KM 1 Kutoka Morogo...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 220,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Nina Ifaulisha Location: MBEZI KWA MSUGURIDistance: KM 1 Kutoka Morogo...