Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA BIASHARA NI APARTMENTS TATU (3) NDANI YA ENEO MOJA ZINAUZWA BINAFSI
ZIPO MBEZI BEACH DAR ES SALAAM TANZANIA
SIFA:
Kila Apartment Moja Ina vyumba 2 Kimoja self, Sitting & Kitchen ( Kodi 750k Kila Moja Kwa Mwezi ) na nyingine moja ina chumba kimoja self, sebule na jiko inapangishwa laki 450
Apartment Zote kila moja inajitegemea umeme nk
Umiliki: Hati
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Umbali: Meter chache Tu Kutoka Barabara kuu Ya Lami (Bagamoyo Road)
Bei : 350 Million
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
#mbezibeach #nyumbazakisasa #apartments #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv#viwanjagoba#viwanjasalasala#