Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MRADI UMEPATIKANA DAKIKA ZA JIONI SANA ..MCHELEWE NYINYI TU.

Wewe unakopeshwa kiwanja mbweni tena mkopo wa miezi sita(6).

MBWENI, MBWENI MALINDI

➑️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➑️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA πŸ“Έ.

➑️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➑️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➑️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➑️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

π—•π—˜π—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 𝗑𝗔 π—¨π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—žπ—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

π—¨π— π—•π—”π—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗣π—₯π—’π—π—˜π—–π—§ 𝗬𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—’ π—­π—”π—œπ——π—œ π—§π—¨π—£π—œπ—šπ—œπ—˜ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 π—›π—œπ—­π—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu π—§π—˜π—©π—œ π—–π—’π— π— π—˜π—₯π—–π—œπ—”π—Ÿ 𝗣𝗔π—₯π—ž(𝗢𝗹𝗢𝗽𝗼 𝗑𝗕𝗖 π—•π—”π—‘π—ž), π— π—•π—˜π—­π—œ π—•π—˜π—”π—–π—› π—§π—”π—‘π—žπ—œ 𝗕𝗒𝗩𝗨 - 𝗗𝗔π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

House for Sale Ipo MBWENI JKTUkubwa SQm 1300 Hati miliki Bei 450M Call; 0716279427

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI JKTβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#0758998074πŸ‘ˆ#0689138795whatsappdalali_β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”New apartment building for rent in Mbweni β€”β€”β€”-Inavyu...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#0758998074πŸ‘ˆ#0689138795whatsappdalali_β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”New apartment building for rent in Mbweni β€”β€”β€”Inavyum...

4 Bedrooms Furnished House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

STAND ALONE HOUSE FOR RENT FULL FURNISHED LOCATED IN:- MBWENI UBUNGO FEW METERS FROM MAIN ROAD 4 BED...

πŸ‡ΉπŸ‡ΏSTAND ALONE HOUSE FOR RENT FULL FURNISHED LOCATED IN:- MBWENI UBUNGO FEW METERS FROM MAIN ROAD 4...

4 Bedrooms Furnished House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

STAND ALONE HOUSE FOR RENT FULL FURNISHED LOCATED IN:- MBWENI UBUNGO FEW METERS FROM MAIN ROAD 4 BED...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

Plot for sale Country:- TanzaniaCity:- Dar es salaamLocation:- Mbweni UbungoPrice;- Million 300Plot ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

Plot for sale Country:- TanzaniaCity:- Dar es salaamLocation:- Mbweni UbungoPrice;- Million 300Plot ...

5 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

$ 2,800 per month

LUXURY HOME FOR RENTLOCATION : MBWENI JKTRENT : USD $2800 PER MONTH 5 bedrooms en-suite Living roomD...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

πŸ“APARTMENT NZURI SANA 🏘️🏑 INAPANGISHWA: IPO MBWENI MPIJI {DAR ES SALAAM}INA VYUMBA VIWILI CHUMBA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

πŸ“APARTMENT NZURI SANA 🏘️🏑 INAPANGISHWA: IPO MBWENI MPIJI {DAR ES SALAAM}INA VYUMBA VIWILI CHUMBA ...

House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

Nyumba inauzwa Location mbweni malindi kama unaenda kwa mama samia sqm 1220 title deedBei million ...

House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

$ 1,500 per month

#VYUMBA_SITA _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #STAND_ALONE#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI JKTβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”...

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 750,000,000

Nyumba ya gorofa inauzwa gorofa lipo mbweni mpijiNyumba ina vyumba vitano VitatuMaster Sebule jikoo...