Plots for sale at Mjini, Ruvuma


Karibuni viwanja vya makazi vipo vinauzwa mbande DSM sehemu ni tambarare Kabsa pia viwanja vyote vina barabara za mitaa ukitaka kufika mbande kama unatokea mjini panda 🚌 k/Koo mbande magengeni ukifika nakupokea nakupeleka saiti 🏍️ buku 🛺 jero hadi
Ukubwa wa kiwanja na bei yake
Futi 30 kwa 50=Laki 9✓
Futi 40 kwa 40=Milioni 1,4✓
Futi 40 kwa 50=Milioni 1,5✓
Futi 50 kwa 50=Milioni 1,7✓
Uduma zote za kijamii zipo
Barabara✓
Maji✓
Shule✓
Umeme✓
Hospital✓
Njoo uone ukipenda biashara inafanyika chini ya serikari ya mtaa hati unapewa pia malipo unaweza kulipia kwa hawamu (kidogo kidogo) Mawasiriano 0688703762