Plots for sale at Mlandizi, Pwani
VIWANJA 2 VINAUZWA VIWANJA V
MKOA WA PWANI MLANDIZI
UKUBWA WA VIWANJA
1.MITER 56 x 35 BEI MIL 10
2. MITER 35 x 40 BEI MIL 8
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
BODA TOKA MORO ROAD 1000 TU
MAJI UMEME VIPO HAPO
NA NI MTAA MPYA MZURI SANA ULIOTULIA NA KUJENGEKA KIMPANGILIO
SITE VISIT FEES TZS 50,000/=
PIGA #0744400988