Plots for sale at Mlandizi, Pwani



EKARI (4) PAMEPIMWA VIWANJA KUMI (10)
TSHS.30 MILIONI, MATUGA‐MLANDIZI/PWANI.
Umbali wa kilomita 9 kutoka MLANDIZI MJINI,
Barabara ya Morogoro.
Eneo ni marufu kama MATUGA/MSONGOLA.
PAMEPIMWA NA KUKATWA VIWANJA VYA MAKAZI.
Ambavyo ìdadi yake jumla ni KUMI (10)
Panafaa pia kwa SHUGHULI ZA KILIMO AU NA-UFUGAJI.
Lipo eneo lako la wazi linalopakana na Bonde ambapo unaweza kuchimba na kupata Maji kiurahisi au kutengeneza Mabwawa nk.
Gari inafìka.
TUNAUZA ENEO LOTE ĶWA PAMOJA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
____________ftm
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.