Plots for sale at Mlandizi, Pwani


⭐ Bado unapata shida katika kumiliki kiwanja kilichopimwa na chenye hati?
⭐ Au kuna sehemu wamekuambia malipo ya kiwanja ni kwa CASH TU?
🔸️ Karibu jamboland_real_estate upate urahisi wa kuwa na kiwanja MLANDIZI CHEKERENI.
🔸️ SIFA ZA MRADI WA MLANDIZI CHEKERENI.
📍 Mradi upo kilometer 9 kutoka barabara kuu ya MOROGORO.
📍 Huduma muhimu za kijamii zinapatikana.
📍 Viwanja vyote vimepimwa.
📍 Tayari kabisa kwa matumizi ya makazi.
🔸️ MFUMO WA MALIPO.
📍 Malipo ni kwa CASH au MKOPO,ambapo mteja wetu utaanza na kianzio cha laki tatu tu (300,000/=) ya thamani ya kiwanja na iliyobaki unalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 12 mpk 18.
🔸️ WASILIANA NASI KWA NAMBA:
✔️ 0677 221115
✔️ 0677 221118
✔️ 0677 221113
✔️ 0677 221116
🔸️ SIKU ZA KWENDA SITE NI KUANGALIA VIWANJA NI KILA SIKU.