Plots for sale at Mwananyamala, Dar Es Salaam


Hii mmeona wapi mabosi zetu yani ni Tsh.67,000 tu ndio utakayolipia kila mwezi π―π―
Na utaweza kumiliki kiwanja chalinze tena kiwanja chenye Hati ya wizara.
Mradi upo km 4 tu kutoka barabara kuu
Bei ya kiwanja cha sqm 400 (20*20) ni Tsh.800,000 tu π°π°
Lipia kila mwezi Tsh.67,000 kila mwezi kwa muda a miezi 12
Viwanja vyetu vimepimwa na kila kiwanja kina Alama (Beacon)
NB: kila jumamosi ni siku ya kwenda kuona mradi,weka booking ya safari mapema ili uweze kufika site
Tupigie No. 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala