Viwanja vinauzwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


Hii mmeona wapi mabosi zetu yani ni Tsh.67,000 tu ndio utakayolipia kila mwezi 💯💯
Na utaweza kumiliki kiwanja chalinze tena kiwanja chenye Hati ya wizara.
Mradi upo km 4 tu kutoka barabara kuu
Bei ya kiwanja cha sqm 400 (20*20) ni Tsh.800,000 tu 💰💰
Lipia kila mwezi Tsh.67,000 kila mwezi kwa muda a miezi 12
Viwanja vyetu vimepimwa na kila kiwanja kina Alama (Beacon)
NB: kila jumamosi ni siku ya kwenda kuona mradi,weka booking ya safari mapema ili uweze kufika site
Tupigie No. 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala