Plots for sale at Tabata, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 25,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

📍TABATA KINYEREZI PROJECT:

Viwanja hivi vipo:
✨Mita 500 tu kutoka barabara kuu
✨Mita 900 tu kutoka kituo cha daladala- KINYEREZI MWISHO.

- Viwanja vina ukubwa kuanzia Sqm 400 na kuendelea.

-Bei: Sh. 70,000/= @ sqm. (Pamoja na gharama za ufatiliaji wa hati miliki).

MIRADI YETU UPANDE WA KIGAMBONI
📍KIGAMBONI MWONGOZO: Kimebakia kiwanja kimoja tu Sqm 500+, Bei @ Sqm ni Sh.30,000/=.

📍KIGAMBONI GEZAULOLE A:Vimebakia Viwanja Viwili tu Yaan Sqm 600 (2), Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.27,000/=

📍KIGAMBONI MWEMBE MDOGO CENTRE: Vimebaki Viwanja 15
Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.27,000/=

📍KIGAMBONI MWELA: Vimebakia Viwanja O6 tu, Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.30,000/=

📍KISARAWE II: Kimebakia Kiwanja Kimoja Tu, Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.27,000/=

Sifa za miradi hii:
i.Imepimwa na uhakika wa hati miliki kutoka wizara ya ardhi ni 100%
ii.Ipo karibu/ Imezungukwa na huduma muhimu za kijamii ikiwemo maji, Umeme, Shule, Zahanati/ Hospitali nk.
iii.Inafikika kwa urahisi kwa kutumia usafiri wowote
iv. Ipo sehemu tambarare yenye mchanga kiasi unaoweza kutumika katika ujenzi.

Ili kuweza kufika site ujionee mwenyewe: Tupigie tuzungumze.

CHAP CHAP POINT LIMITED
☎️ 0777 403 199 | 0744 006001
📍POSTA, PAMBA HOUSE GHOROFA YA PILI, CHUMBA NAMBA 225.
2024 “NYUMBA BORA INAANZIA KWENYE KIWANJA BORA”

Viwanja Tanzania🇹🇿
maishaboraproperties_ccpl
Viwanja Tanzania🇹🇿

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Viwanja Vya Benki. - Vyumba viwili (kimoja master)- Sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Viwanja Vya Benki. - Vyumba viwili (kimoja master)- Sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Shell Oil Com. - Vyumba viwili (kimoja master)- Sebule- Jiko leny...

3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Nyumba inapangishwa Tabata Segerea. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).- Vyumba vitatu (kimoja master)-...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(apartments 6) house for rent 200000/=/month at tabata kinyerezi mwisho ...) Dar es salaam, Tanzania...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(apartments 6) house for rent 200000/=/month at tabata kinyerezi mwisho ...) Dar es salaam, Tanzania...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT FOR RENT #2 ON COMPOUND #Location.Tabata Segerea Kona Kali #Distance To Main 4 Minutes by ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT FOR RENT #Location.Tabata Kinyerez Kibaga Songasi #Price.300,000#2 Bedroom 1Self Containe...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

0688 067 289 📞 0714 418 005 WhatsApp Apartment Classic For Rent ✨️ Location: TABATA SEGEREA Price: ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA Location: TABATA MWANANCHI [ Relini ]Distance: DAKIKA 12 KWA KUTEMBEA T...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

APARTMENTS ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KWENYE FENCE TABATA Segerea v\/bank\n\nBei:400,000\/ Per Mon...

2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 400,000

Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Viwanja Vya Benki. - Vyumba viwili (kimoja master)- Sebule...

3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(stand alone) house for rent 400000/=/month at TABATA KINYEREZI KIBAGA) (SONGASI... Dar es salaam,T...

3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(stand alone) house for rent 400000/=/month at TABATA KINYEREZI KIBAGA) (SONGASI... Dar es salaam,T...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT FOR RENTLOCATION:TABATA SEGEREA COCOMTAMA DAK:5 STAND PRICE:400,000/=SERVICE CHARGE:20,000...

3 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

HOUSE FOR SALELOCATION TABATA KINYEREZI KWA MAKOFIAPRICE MILLION 200(MAONGEZI YAPO) 3BEDROOM2MASTERB...

2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HOUSE FOR RENTLOCATION TABATA KINYEREZI KIBAGAPRICE 300,000 /=2BEDROOM1MASTERBEDROOMSITTING ROOMKITC...

2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HOUSE FOR RENTLOCATION TABATA KINYEREZI ZABIHKAPRICE 300,000 /=2BEDROOM1MASTERBEDROOMSITTING ROOMDIN...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

HOUSE FOR RENT2 APARTMENTLOCATION TABATA SEGEREAKOKOMTAMAPRICE 400,000 /=2BEDROOM1MASTERBEDROOMSITTI...

House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NEW HOUSE FOR RENT KALILOCATION TABATA KINYEREZI MBUYUNIPRICE 250,000 /= 3 MONTHS1MASTERBEDROOMSITTI...