Viwanja vinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


📍TABATA KINYEREZI PROJECT:
Viwanja hivi vipo:
✨Mita 500 tu kutoka barabara kuu
✨Mita 900 tu kutoka kituo cha daladala- KINYEREZI MWISHO.
- Viwanja vina ukubwa kuanzia Sqm 400 na kuendelea.
-Bei: Sh. 70,000/= @ sqm. (Pamoja na gharama za ufatiliaji wa hati miliki).
MIRADI YETU UPANDE WA KIGAMBONI
📍KIGAMBONI MWONGOZO: Kimebakia kiwanja kimoja tu Sqm 500+, Bei @ Sqm ni Sh.30,000/=.
📍KIGAMBONI GEZAULOLE A:Vimebakia Viwanja Viwili tu Yaan Sqm 600 (2), Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.27,000/=
📍KIGAMBONI MWEMBE MDOGO CENTRE: Vimebaki Viwanja 15
Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.27,000/=
📍KIGAMBONI MWELA: Vimebakia Viwanja O6 tu, Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.30,000/=
📍KISARAWE II: Kimebakia Kiwanja Kimoja Tu, Bei @ Sqm kwa malipo ya cash ni Sh.25,000/= na kwa awamu ni Sh.27,000/=
Sifa za miradi hii:
i.Imepimwa na uhakika wa hati miliki kutoka wizara ya ardhi ni 100%
ii.Ipo karibu/ Imezungukwa na huduma muhimu za kijamii ikiwemo maji, Umeme, Shule, Zahanati/ Hospitali nk.
iii.Inafikika kwa urahisi kwa kutumia usafiri wowote
iv. Ipo sehemu tambarare yenye mchanga kiasi unaoweza kutumika katika ujenzi.
Ili kuweza kufika site ujionee mwenyewe: Tupigie tuzungumze.
CHAP CHAP POINT LIMITED
☎️ 0777 403 199 | 0744 006001
📍POSTA, PAMBA HOUSE GHOROFA YA PILI, CHUMBA NAMBA 225.
2024 “NYUMBA BORA INAANZIA KWENYE KIWANJA BORA”