Plots for sale at Vikindu, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 550,000
Project
Yes

πŸŽ‰ **OFA KABAMBE YA KUFUNGA MWAKA!*

Furahia mwisho wa mwaka kwa ofa isiyoweza kupingwa! Unapata kiwanja chako kwa LAKI TANO NA NUSU TU. (550,000/=) Fursa hii ni ya kipekee na haitakuja Kutokea!
πŸ“ž 0711677199/0744847199.

🌟VIWANJA VINAPATIKANA VIKINDU VIANZI CHANGANYIKENI 🌟 Unatafuta kiwanja cha kujenga nyumba yako au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! Tuna viwanja zaidi ya 300 Ushindwe wewe tu.

🏑SIFA ZA VIWANJA HIVI:
Vikindu Vianzi CHANGANYIKENI ni sehemu inayokua kwa haraka, na ni karibu na huduma zote muhimu za kijamii, Umeme upo jirani na mradi, maji yapo, huduma za afya, Shule ipo n.k

🌳 Ujenzi wake ni rahisi, Wakati wa Ujenzi huna haja ya kutafuta mchanga, eneo Lina mchanga mwingi sana. Tambarale, halituami maji hata kipindi cha mvua kubwa.

UKUBWA WA KIWANJA : Kila Kiwanja kina ukubwa wa Futi 50X40, Kwa Laki Tano na nusu tu. Unaweza kuunga idadi ya Viwanja utakavyo. Kuanzia viwili, vinne, sita hata mtaa mzima ni uwezo wako tu.

πŸ›£οΈ Na Viwanja vyote vimezungukwa na barabara za mtaa. Umbali kutoka Stendi ya Vikindu mpaka kwenye mradi wetu ni Km 8. Na usafiri wa bajaji upo muda wote.

πŸš€ Funga mwaka wako kwa mafanikio! Uwe mmiliki wa ardhi na uanze mwaka mpya ukiwa na malengo makubwa! πŸ₯³πŸ βœ¨ Jamani wateja wangu SIMU ZIITE 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,200,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Plots for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,500,000

OFA YA VIWANJA BADO INAENDELEA ....Changamkia ofa viwanja VIKINDU CHANG'OMBE ndugu mtanzania kwa bei...

4 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 1,500,000

Nyumba ya vyumba vinne chumba kimoja masta, dining, jiko na sitting room….BUDGET 48m hadi kuhamia bi...

Plots for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 8,000,000

MRADI MPYA WA VIKINDU MJINI /SHULE YA MUUNGANO...BUSSINESS PLOTS TSH 8M MALIPO KWA AWAMU MBILI..VIWA...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,200,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Plots for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 2,900,000

VIWANJA VIKINDU VIANZI MJINI...BEI TSH 2.9MMALIPO KWA AWAMU MBILI UTAANZA 1.5M..UKUBWA KUANZIA SQM 2...

Plots for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,500,000

VIWANJA VIKINDU CHANG'OMBE...BEI TSH 1.5M MALIPO KWA AWAMU MBILI UTAANZA 1 MILLION...UKUBWA KUANZIA ...

Plots for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,500,000

OFA YA VIWANJA BADO INAENDELEA ....Changamkia ofa viwanja VIKINDU CHANG'OMBE ndugu mtanzania kwa bei...

House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 40,000,000

Nyumba inagusa ipo vikindu nyumba ya vyumba3 vya kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitche...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

3 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

NYUMBA INAUZWA VIKINDU PENTAGON BEI MILLION 30INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER INADINNG ROOM STING ROO...

3 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

NYUMBA INAUZWA VIKINDU PENTAGON BEI MILLION 30INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER INADINNG ROOM STING ROO...

Plots for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 900,000

OFAπŸ”₯OFAπŸ”₯OFAπŸ”₯ HII NI SITE MPYA WADAU WETU SITE HII INAPATIKANA VIKINDU VIANZI(MALELA) SHULE YA MSI...

3 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

NYUMBA INAUZWA VIKINDU PENTAGON BEI MILLION 30INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER INADINNG ROOM STING ROO...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

2 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 16,000,000

Mteja wangu wa vikindu aliniuliza swali kwa tsh milioni 15 anaweza kujenga nyumba ya ukubwa gani?Nyu...

House for Rent at Vikindu, Pwani
  • Project

Sh. 1,000,000

π™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π˜½π™€π™„ π™‹π™Šπ˜Ό π™ˆπ™‰π™Šπ™‘π™„π™’π˜Όπ™‰π™…π˜Ό π™‘π™„π™†π™„π™‰π˜Ώπ™ π™‘π™„π˜Όπ™‰π™•π™„ π™†π™’π˜Ό π™ˆπ™π™Šπ™‹π˜ΌπŠπ”οΏ½...

Plot for sale at Vikindu, Pwani

Sh. 30,000,000

KIWANJA CHA BIASHARA BOSS WANGU...LOCATIONI VIKINDU MADUKA MAWILI.1KM KUTOKA LAMI.UKUBWA SQM 400+BEI...