Viwanja vinauzwa Vikindu, Pwani
🎉 **OFA KABAMBE YA KUFUNGA MWAKA!*
Furahia mwisho wa mwaka kwa ofa isiyoweza kupingwa! Unapata kiwanja chako kwa LAKI TANO NA NUSU TU. (550,000/=) Fursa hii ni ya kipekee na haitakuja Kutokea!
📞 0711677199/0744847199.
🌟VIWANJA VINAPATIKANA VIKINDU VIANZI CHANGANYIKENI 🌟 Unatafuta kiwanja cha kujenga nyumba yako au uwekezaji? Hii ni nafasi yako! Tuna viwanja zaidi ya 300 Ushindwe wewe tu.
🏡SIFA ZA VIWANJA HIVI:
Vikindu Vianzi CHANGANYIKENI ni sehemu inayokua kwa haraka, na ni karibu na huduma zote muhimu za kijamii, Umeme upo jirani na mradi, maji yapo, huduma za afya, Shule ipo n.k
🌳 Ujenzi wake ni rahisi, Wakati wa Ujenzi huna haja ya kutafuta mchanga, eneo Lina mchanga mwingi sana. Tambarale, halituami maji hata kipindi cha mvua kubwa.
UKUBWA WA KIWANJA : Kila Kiwanja kina ukubwa wa Futi 50X40, Kwa Laki Tano na nusu tu. Unaweza kuunga idadi ya Viwanja utakavyo. Kuanzia viwili, vinne, sita hata mtaa mzima ni uwezo wako tu.
🛣️ Na Viwanja vyote vimezungukwa na barabara za mtaa. Umbali kutoka Stendi ya Vikindu mpaka kwenye mradi wetu ni Km 8. Na usafiri wa bajaji upo muda wote.
🚀 Funga mwaka wako kwa mafanikio! Uwe mmiliki wa ardhi na uanze mwaka mpya ukiwa na malengo makubwa! 🥳🏠✨ Jamani wateja wangu SIMU ZIITE 0711677199/0744847199.