Plots for sale at Zinga, Pwani
Nyumba ya #Ndoto yako inaanza na Kumiliki #Kiwanja chako, karibu Pichanyumba Real Estate utimize ndoto yako katika mradi wetu uliopo 📍 Zinga Bagamoyo
SIFA ZA VIWANJA VYETU
🏠 1km toka Bagamoyo road
🏠 Vimepimwa kukidhi mahitaji yako
🏠 Maji yapo
🏠 Umeme upo
🏠 Hospitali
🏠 Shule
🏠 Katika makazi ya watu
Bei na malipo:
14,000/= kwa mita ya mraba, viwanja vilikuwa 20 sasa vimebaki 8 kwa mradi huu na vipo kuanzia Tshs 4,000,000/= na kuendelea,
MALIPO : Unaweza kulipa mara moja na bei inashuka kidogo ama kidogo kidogo kwa mpango wa hadi miezi 10
Karibu tukuwezeshe kutimiza ndoto yako kwa kumiliki kiwanja kwa ajili yako na kwa kizazi chako wakati ni sasa
Wasilina nasi leo upate maelezo zaidi
📞 +255 768 308 599
📞 +255 655 308 599
Pichanyumba Real Estate
Office Location:
Mbezi Beach, Makonde
#pichanyumba #realestate #kiwanja #viwanja #makazi #Wekeza #ardhi #zinga #bagamoyo #upimajiviwanja #makaziboratanzania