Retail space for rent at Kimara, Dar Es Salaam
🔰Frem Inapangishwa KIMARA SUKA
📍 200,000/= *6 tu
_______
__
• Inafaa kwa biashara Mbalimbali
* Inajitegemea UMEME
* Panaelezeka
* Panamzunguko wa wateja
#Ipo sehem nzuri, inatazama Service Road ya barabara ya Morogoro Road
_______
#Malipo ya Dalali ni 200,000/=
#Service Charge 15,000/=
№: 0753-172-516