Frame inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ฐFrem Inapangishwa KIMARA SUKA
๐ 200,000/= *6 tu
_______
__
โข Inafaa kwa biashara Mbalimbali
* Inajitegemea UMEME
* Panaelezeka
* Panamzunguko wa wateja
#Ipo sehem nzuri, inatazama Service Road ya barabara ya Morogoro Road
_______
#Malipo ya Dalali ni 200,000/=
#Service Charge 15,000/=
โ: 0753-172-516