Plots for sale at Kibaha, Pwani


Viwanja vilivyopimwa Vinauzwa Kibaha Kwa Mathias! Viwanja vipo mita 900 Toka Lami inayojengwa ( Msangani Road)
Viwanja katikati ya Makazi,Maji yapo na umeme! Site imechongwa barabara vizuri,imependeza sana! Kuna miti ya Matunda kama vile miembe,Michungwa na miti ya mikorosho!
Kila mteja atakayenunua Kiwanja ni full Guarantee kwamba lazima ajipatie miti kadhaa ya matunda kuanzia miwili Hati mitano ambayo IPO full matured kuzaa matunda katika msimu wake.
Bei Kwa wateja wanaolipa Cash: 12,500/=
Bei Kwa mteja anayelipa kidogo kidogo 14,000/= na utaratibu wake wa Malipo ni Miezi Sita
Kianzio: 1,500,000/=
Unatembea Lami Kwa Lami! Rough Road utakuwa unatembea 900meters tu! Yani kiufupi ni mahali panafaa kuishi bila stress! Njoo ujenge mji wako mzuri huku Kibaha Kwa Mathias,uishi kama mwamba!
Cananland tunakupa Raha,hatuna Kona-kona! Ni mwendo wa kunyoooka tu! Tunahakikisha tunakupa thamani ya Pesa yako
Mawasiliano
0763 172 814
0659 972868
Office: Kiluvya Madukani.