Plots for sale at Kibaha, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 6,000,000
Project
Yes

Viwanja Vinauzwa Kibaha Picha ya Ndege! Mtaa wa SOFU. KM4 Toka Lami! Viwanja vimepimwa na tayari vimeshakuwa Approved... Barabara ya kufika Hadi hapa site tayari ipo kwenye ujenzi Kwa kiwango cha Lami.... Unasubiri nini Sasa? Njoo ujioneee mwenyewe.

Malipo ni kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja! Bei kwa square meter ni shilingi 15,000/= sawa na shilingi 6,000,000/= Kwa Kiwanja chenye 400m²

Kianzio: 1,000,000/=
Kiasi Kilichobaki Kinalipwa ndani ya Miezi 11

Maji na umeme vipo site! Viwanja Barabarani,ukifika umefika sio kuingia kulia Wala Kushoto! Palepale site Kuna Hardware Kubwa Sana,unaweza kujipatia vifaa vyovyote vya Ujenzi Kwa Bei nafuu! Wote mnakaribishwa.

Udongo wa SOFU ni kichanga + udongo Mwekundu Yani udongo safi saNa! Hautelezi hata kama mvua inanyesha! Pia wakati wa ujenzi huna haja ya kutanguliza mchanga mwingi kwenye msingi!

Ukiwa SOFU unapata Matofali Kwa bei nzuri Sana,Yani Bei nafuu Sana! Wahi fursa ya kujenga Kibaha SOFU ufurahie OFA hii nzuri na kubwa kutoka Kwetu! SOFU Kuna washua kibao,ushindwe wewe kufika site boss! Karibu Sana SOFU.

This time ni Kibaha,Picha ya Ndege Mtaaa wa SOFU.

Mawasiliano
0659 972 868

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 37,500,000

ENEO ZURI SANA LINAUZWAMAHALI KIBAHA MWENDAPOLE PLOT HII IPO TAMBARARE KABISAPLOT SIZE SQM1500UMBALI...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 18,000,000

PLOT FOR SALELACATION KIBAHA MJIN (SOFU)PLOT NO 1872AREA SQM 782KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HAT MILIKI...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 18,000,000

PLOT KAL SANA INAUZWAMAHAL KIBAHA PICHA YA NDEGE (MTAA WA SOFU)KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HAT MILIKIK...

1 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani

Sh. 335,000

NYUMBA INAPANGISHWAMAHAL KIBAHA PICHA YA NDEGEUMBAL KM 2 KUTOKA KIBAHA BUS STANDSIFA ZA NYUMBAVYUMBA...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 17,000,000

PLOT FOR SALELOCATED AT KIBAHA PICHA YA NDEGEMTAA WA SOFUKM3 KUTOKA KIBAHA BUS STANDPLOT SIZE SQM 50...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 28,000,000

ENEO LINAUZWAMAHAL KIBAHA MJINIUKUBWA SQM 1818KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HAT MILIKIBEI MILLION 28SERV...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 45,000

NI MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYOPIMWA. Eneo: Kibaha Boko Mnemela.Wilaya: Kibaha Mjini. Bei: SQM 1 =T...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 30,000

DEGE USHUANI 🔥🔥🔥🔥🔥BADO HUJAJUA WAPI PA KUKUNUNUA KIWANJA? TUMEKULETEA MRADI WA DEGE 🎈KM 18 KU...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 45,000

NI MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYOPIMWA. Eneo: Kibaha Boko Mnemela.Wilaya: Kibaha Mjini. Bei: SQM 1 =T...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 45,000

NI MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYOPIMWA. Eneo: Kibaha Boko Mnemela.Wilaya: Kibaha Mjini. Bei: SQM 1 =T...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibaha, Pwani

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWAAMBAYO IPO WAZI NI MOJA TUMAHAL KIBAHA MIEMBE SABAUMBALI MITA 900 K...

4 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 70,000,000

#NYUMBA_INAUZWA@#kibaha_msufiniNYUMBA YA KISASA KUBWA ALAFU NI NZURI SANA WATEJANYUMBA IPO KIBAHA MS...

House for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 50,000,000

NYUMBA INAUZWA(UNFINISHED HOUSE) MAHALI KIBAHA PICHA YA NDEGEKIWANJA KIMEPIMWA TAYAR KINA UKUBWA WA ...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 14,000,000

KIWANJA KINAUZWAMAHAL KIBAHA KWA MATHIASKIWANJA KINA UKUBWA WA SQMT 650BEI MILLION 14☎️ #0757208653

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 2,900,000

TUIKIMBIE KODI JAMANI BEI IMESHUKA NJOO NA 2.9M TU UJIPATIE KIBANDA CHUMBA KIMOJA KIBAHA KWA MATHIAS...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 28,000,000

PLOT KALI SANA WATEJA WANGU INAUZWAMAHAL KIBAHA MAILIMOJA (PANGANI)UMBALI KM 3.5 KUTOKA KIBAHA BUS S...

Plot for sale at Kibaha, Pwani

Sh. 30,000,000

PLOT KUBWA SANA INAUZWAMAHAL KIBAHA PICHA YA NDEGEUMBALI KM 2.3 KUTOKA MOROGORO ROADKIWANJA KIMEPIMW...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 45,000

HABARI NJEMA YA MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYOPO Eneo: Kibaha Boko Mnemela.Wilaya: Kibaha Mjini. Bei:...

Plots for sale at Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 45,000

NI MRADI MPYA WA VIWANJA VILIVYOPIMWA. Eneo: Kibaha Boko Mnemela.Wilaya: Kibaha Mjini. Bei: SQM 1 =T...

House for Rent at Kibaha, Pwani
  • By Installment
  • Project

Sh. 6,000,000

KIBAHA BOKOMNEMELA-3Km7 Morogoro RoadMita900 Toka StandDaladala Zipo Tokea Mbezi, Nauli 2000Maji Daw...