Plots for sale at Kibaha, Pwani
Taarifa kutoka latra_tz
Wawekezaji wa mabasi ya usafirishaji (Daladala ) changamkieni fursa. Route mpya imetangazwa Kibaha stand kwenda Soga stesheni.
—
Ndugu zetu msisubiri kesho ndo mje kununua viwanja mtakuta bei zimepanda sana. Sisi leo tunakuuzia kiwanja kwa tsh 1,800,000/= ambayo unailipa kidogo kidogo kwa mwaka mzima. Yani tsh 150,000/= kwa mwezi kwa miezi 12
—
Vimepimwa unapata hati miliki bure
—
Ukubwa wowote utakaochagua bei ni moja
—
Tupigie simu vijana_realestate 0789-100 100 au 0675-200 300
Ofisi zetu zipo tegeta azania CHIEF HOUSE ghorofa ya kwanza