Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
🚨🚨NEW PROJECT-CHEKA KIGAMBONI 🚨🚨
Mradi mpya unapatikana kigamboni cheka
🚨UMBALI🚨
-Mradi upo kilomita 23 kutoka feri mpaka site.
-Mradi upo mita 500 kutoka barabara kuu ya lami.
🚨SIFA ZA MRADI🚨
-Mradi upo karibu kabisa na chuo cha unesi cha WESTERN COLLEGE.
-Mradi umepimwa na kuwekwa mawe ya wizara
-Mradi ni tambarale💯.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana karibu ikiwa na umeme upo mpaka site kabisa.
- Mradi umezungukwa na makazi ya watu (Nunua leo jenga leo).
🚨BEI ZAKE🚨
-Tsh 40,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya mkupuo (cash)
-Tsh 45,000 kwa sqm 1 kwa malipo ya awamu (installment) kwa muda wa miezi 6 kwa kianzio cha 40% (down payment).
-Tsh 55,000 kwa malipo ya bila kianzio (flat rate) kwa muda wa miezi sita.
🚨Siku za kuembelea site ni jumatano, jumanmosi na jumapili , buree kabisa.
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga simu au tuma ujumbe kwa namba 0788980126.
FURSA CREDIT SERVICES “miliki ardhi, ishi ndoto zako”