Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI. 0711677199/0744847199.

Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote pale. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee🤗

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale na havikai maji.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Wakati wewe Bado unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuna na neno la SOLD OUT 🤪. Jamani simu ziite 📞 0711677199 au 0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_k...

Sh. 600,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DRGE MAGOROFANI SWMT 600 BEI TSH/70 MILLION (0787-717683)

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 370,000,000

GHOROFA INAUZWA KIGAMBONI TOANGOMA NYUMBA YA VYUMBA 5 VYAKULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM INA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_k...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA📍Kigamboni-Darajani(BARABARANI)💰300,000X6 Na mwezi mmoja wa dalali•Ina Vyumba...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko Ko...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA UNGINDONI __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER __SEBULE DINING JIKO...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 98,000,000

*MALI:*NYUMBA INAUZWA *LOCATION:*KIGAMBONI MIKWAMBE *UKUBWA WA ENEO:*SQM~600*BEI:*MILLION 98*SIFA ZA...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 25,000

🔥 Surveyed Plot. VIWANJA VIMEPIMWA VINAUZWA KIGAMBONI KISARAWE 2..*VIWANJA VIPO SEHEMU NZURI.*UMEME...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 98,000,000

*MALI:*NYUMBA INAUZWA *LOCATION:*KIGAMBONI MIKWAMBE *UKUBWA WA ENEO:*SQM~600*BEI:*MILLION 98*SIFA ZA...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

KIWANJA ICHO KINAUZWA @Bei milioni 65 ( maongez)@Mahali kigamboni kibugumo@Kinaukubwa wa sqm 870@Hat...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 25,000

Surveyed Plot. VIWANJA VIMEPIMWA VINAUZWA KIGAMBONI KISARAWE 2..*VIWANJA VIPO SEHEMU NZURI.*UMEME MA...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

#Repost dalali_hans_kigamboniNYUMBA INAUZWA KIGAMBONILOCATION KIBADA CHEKECHEAVYUMBA V8TATU SEBULE J...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada block 7📍Umbal wa kilometer 11 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko n ...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule na jiko Kodi 350k kwa mwezi Zipo kiga...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 300k kwa mwezi Zipo kigambo...