Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI. 0711677199/0744847199.

Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote pale. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee🤗

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale na havikai maji.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Wakati wewe Bado unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuna na neno la SOLD OUT 🤪. Jamani simu ziite 📞 0711677199 au 0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zi...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

Eneo Nzuri Sana IinauzwaMahali: KIGAMBONI KIMBIJI MTAA WA GOLANIBei: Milioni 55 (Mazungumzo)☑️Main R...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Eneo Nzuri Sana IinauzwaMahali: KIGAMBONI KIMBIJI MTAA WA MUHIMBILI Bei: Milioni 250 (Mazungumzo)☑️M...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

Viwanja Vinauzwa Vipo KIGAMBONI KIMBIJI MTAA WA MUHIMBILI Mita 200 kutoka main Road Ukubwa ni SQm 50...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMOBEI;MILION 28UKUBWA;SQM 450CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 320,000,000

Eneo linauzwa kigamboni mikwambe Ukubwa wa eneo sqm 5413Bei milioni 320 kalibuni sana CALL 0683491...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI <> location geza ulole <> Ukubwa wa eneo SQM 600✅HATI YA WIZALA <> price:...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada <> Ukubwa wa eneo SQM 1402✅HATI YA WIZALA ◾️price: Mili...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000

Wateja wetu wanaendelea kushambulia mradi wetu wa Cheka Kigamboni!!Bei ni Tsh 35,000/SqmViwanja vyot...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMOBEI;MILION 28UKUBWA;SQM 400KUTOKA FERRY KM 9CALL 074212...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 29,500,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI SANA 🔹Kina ukubwa wa sqm 720🔹Bei ni Million 29.5 🤝Maongezi yapo🔹Sit...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 7,777,778

📍KIGAMBONI CHEKA; Sasa miliki kiwanja chako bila stress ya down payment 😍 ❌ Hakuna Down Payment ✅ ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

VIWANJA_VINAUZWA---📍 Location: Kigamboni cheka ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafik...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba Ina chumba kimoja master nzuri mpya ✅n...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location Mwongozo <> nyumba Ina vyumba viwili kimoja Master sebule...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani Soeto <> nyumba ina vyumba viwili kimoja master ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMOBEI;MILION 28 UKUBWA:SQM 450CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 28,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMOBEI;MILION 28 UKUBWA;SQM 450CALL 0742121038

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA INAPANGISHWA INA VYUMBA VITATU VYAKULALA SEBULE NAJIKO BEI LAKI TANO TSH 500k location kigam...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 26,000,000

KIWANJA KINA UZWA KIGAMBONI KIBUGUMO __SIFA Kiwanja Tambalale Miundombinu yake nimzuri Panafikika wa...